Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Mustafa Kitwana akimkabidhi kazi Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar - JKUZ (Col. Makame Abdalla Daima) | Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Idrissa Kitwana Mustafa akimkabidhi kazi Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar (Khamis Bakar Khamis) |
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh.Idrissa Kitwana Mustafa akimkabidhi kazi Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar - KZU (Rashid Mzee Abdallah) |