Habari

BARAZA LA WAWAKILISHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMIM SMZ Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amesema Serikali inampango wa kujenga Stendi ya Kisasa ya Mabasi na Gari za Abiria kwa mwaka wa Fedha 2026/2027 katika eneo la Chanjaani ili kuimarisha shughuli za usafiri.

  • 12