VIONGOZI WAKUU WA SASA WA AFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM SMZ
Waziri mwenye dhamana ya kuiongoza Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ ni MHE. MASOUD ALI MOHAMMED.
Katibu mkuu wa Wizara ni Mh. ISSA MAHFOUDH HAJI
Naibu Katibu mkuu wa Wizara ni Nd. MIKIDADI MBAROUK MZEE
Aidha Katika ngazi ya Idara zinazounda za Makao Makuu uongozi uko kama ifuatavyo:
- Idara ya uendeshaji na utumishi inaongozwa na Nd. SILIMA JUMA KHAMIS
- Idara ya mipango sera na utafiti - Nd. ABDALLA ISSA MGONGO
- Idara ya uratibu wa tawala za mikoa na serikali za mitaa - Nd. OMAR HAJI GORA
- Wakala wa usajili wa matukio ya kijamii - Nd. IDRISSA SHAABAN ZAHRAN
- Idara ya uratibu wa Idara Maalum za SMZ - Nd. Lt. Col. HAJI SHEHA KHAMIS
- Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - Col. MIRAJI M. VUAI (mst)
- Katibu wa Tume ya Utumishi wa Idara Maalum - SSP. HASSAN HAJI HAJI
- Afisa mdhamini Pemba - Nd. THABIT OTHMAN ABDALLA
- Afisi ya Mrajis wa Jumuiya zisizo za Kiserikali Zanzibar - Nd. AHMED KHALID ABDULLA
- Mkurugenzi Mtendaji wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ ni - SP RAMADHAN KHAMIS IBRAHIM
- Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii - Nd. Makame Mussa Mwadini