KUWASILISHWA KWA RIPOTI YA OFISI YA RAIS TAMISEMIM    KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YA BARAZA LA WAWAKILISHI
 
 
 
Ujumbe wa Mameya kutoka Anjouan Visiwa vya Comoro, utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Serikali za mitaa Zanzibar, itawawezesha kujifunza na kwenda kutekeleza miradi ya aina hiyo nchini kwao.   MASHINE MPYA KUONGEZEKA UZALISHAJI VIWANDA VYA IDARA MAALUM ZA SMZ    
 
 
 Kumbukumbu ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume 1905 - 1972.   Mh Masoud Ali Mohamed, amesema Afisi yake itaendeleza ushirikiano na Jeshi la Polisi.    Mh. Masoud Ali Mohamed, amewaapisha wajumbe watano wa Mahkama ya Rufaa ya Idara Maalum za SMZ.
 
 
Mh. Masoud aagiza kusimamishwa kazi wafanyakazi wawili kwa kosa la kukusanya kodi kinyume na sheria.   Waziri OR-TMSMIM amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa maeneo ya biashara kukamilisha ujenzi Kwa wakati.Mkoa wa Kusini Unguja.
Tarehe 1/3/2022
  Waziri we nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohamed, ameitaka Bodi ya Wakala wa Ulinzi JKU, kujiimarisha katika kutoa huduma Bora za ulinzi ili kupata wateja wengi zaidi na kujiongezea mapato.
 
 
Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema mafunzo ya kujenga ukakamavu yanayotolewa na idara maalum za SMZ yanajenga ujasiri katika kuhakikisha Nchi ina amani muda wote.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema kuna mengi ya kujivunia ndani ya mwaka mmoja ya utawala wa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema huduma za afya zinazotolewa na hospitali za idara maalum zimekua ni msaada mkubwa kwa wananchi waliowengi.
 
 
Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema hatomvumilia mtendaji yoyote atakaewasumbua wananchi wakati wanapohitaji vyeti vya kuzaliwa.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amelitaka jeshi la kujenga uchumi JKU kuanzisha miradi mbadala ambayo italeta tija zaidi katika kujitegemea kiuchumi.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema watu wanaojihusisha na biashara za magendo ni wahujumu wa uchumi kwani hukwepa kulipa kodi kisheria kama ilivyoagizwa na Serikali.
 
 
Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amesema serikali imedhamiria kuimarisha maslahi ya Askari wa Idara Maalum ili kuwaongezea ari katika uwajibikaji.   Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Rashid Mzee Abdalla Amesema utekelezaji bora wa majukumu uliofikiwa katika Kikosi hicho unatokana na kuimarishwa miundombinu na vitendea kazi.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amepiga marufuku kubandikwa matangazo yasiyofuatautaratibu ambayo hukwepa kulipa kodi.
 
 
Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Ameeleza kutoridhishwa na kiwango kidogo cha ukusanyaji wa mapato katika Afisi za Mabaraza ya Miji Wilaya ya Kaskazini A na B.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DR. Hussein Ali Mwinyi Ameagiza kwa Wajasiriamali kutengewa maeneo maalum ya kufanyia Biashara zao bila ya kupata usumbufu.   Waziri wa OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Massoud Ali Mohammed Amewataka Wakurugenzi walioteuliwa kutokua kikwazo katika kusimamia maslahi na haki za Wafanyakazi.
 
 
Kamishna wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Khamis Bakar Khamis Amepokea msaada wa magodoro mia moja kutoka Taasisi ya Muzdalifa na Mtandao wa haki ya jamii Tanzania (THRDS) kwaajili wa wanafunzi wanaotumikia chuo cha mafunzo.   Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed Amesema utekelezaji wa miradi wa taasisi za kifedha kupitia NMB itakua na faida kwa Idara maalum za SMZ na Tawala za Mikoa.   Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed Ameziagiza Manispaa, Halmashauri na Mabaraza ya Miji kuwasilisha Ofisini kwake taarifa za makusanyo ya mapato ya kila mwezi.
 
 
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Rashid Khalid Rashid Amesema katika kuzingatia utawala bora ni muhimu kwa kiongozi kuhakikisha kuwa haki za wanajamii zinalindwa wakati wote.   Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohammed Amesema sio jambo la busara kwa Masheha kuwabagua na kuwakosesha huduma Wananchi kwasababu ya tofauti zao binafsi.   Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Kitwana Mustafa amesema mafunzo elekezi kwa Masheha yatawajengea uwezo wa kufanya kazi zao kwa kujiamini kwa kuzingatia sheria na miongozo ya kiutendaji.
 
 
Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed Amesema Ofisi yake imepanga mikakati ya kukabiliana na mapungufu yaliyojitokeza katika kipindi kilichopita ili kuziimarisha zaidi Taasisi zilizo katika Wizara yake.   Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza na kudhibiti hesababu za Serikali Mh. Juma Ali Khatib ameridhishwa na hatua ya kudhibiti na kutunza vielelezo na kumbukumbu za hesabu kwa mujibu wa sheria katika kikosi cha Zimamoto na uokozi.   Mwenyekiti wa Kamati Nd. Mtumwa Kea Yussuf amewataka wanasheria wa Vikosi vya Serikali kuwa makini wakati wa kufunga mikataba na wazabuni ili kuepusha vikosi hivyo kutofaidika na mikataba hiyo.
 
 
Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed Amesema Migogoro kati ya Madiwani inadhorotesha ukusanyaji wa kodi na kupunguza kasi ya maendeleo katika maeneo yao.   Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed Ameuagiza Uongozi kulifanyia haraka matengenezo yaliyobaki Gereza la Chuo cha Mafunzo liliopo Hanyegwa Mchana   Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed Akagua maeneo ya uzalishaji wa kilimo cha mboga mboga katika kambi ya JKU Bambi Matola.
 
 
Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed ameyataka Mabaraza ya Manispaa kuzitumia fursa za Bank ambazo zitakua na tija kwa madiwani na watendaji waliopo katika manispaa hizo.   Serikali yapiga marufuku utupaji wa taka za hospitali katika majaa yanayotumiwa na wananchi   Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed amekabithi majukumu na rasilimali kwa Wizara zilizokuwa zikitumika katika mfumo wa Ugatuzi.
 
 
Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi awavisha vyeo na kuwaapisha Wakuu wa Idara Maalum za SMZ.   Rais wa Zanzibar Mh. Hussein Ali Mwinyi awavisha vyeo na kuwaapisha Wakuu wa Vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.   Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed azungumzia kuhusu urudishaji wa majuku kwa Wizara husika kwa Sekta zilizo katika Ugatuzi.
 
 
Dua maalum ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya pili Zanzibar Marehemu Aboud Jumbe Mwinyi Iliyofanyika nyumbani kwake Migombani Zanzibar.   Kiasi cha 300,000,000/= zakabidhiwa kwa wakulima 135 waliouza zao la miwa kutoka kiwanda cha sukari Mahonda Zanzibar   Waziri wa nchi OR-TMSMIM Mhe. Masoud Ali Mohamed akutana na Wajumbe wa Mahkama ya Rufaa ya Idara Maalum za SMZ
 
 
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar Mahmoud Mohd Mussa atembelea jengo la biashara la Michenzani Mall   Waziri wa Nchi OR-TMSMIM Mhe. Massoud Ali Mohammed atembelea Kambi za kikosi cha Valantia Unguja   Waziri wa Nchi OR-TMSMIM Mh Masoud Ali Mohammed atembelea Kambi za Chuo cha Mafunzo zilizopo Unguja
 
 
Ziara ya Waziri OR-TMSMIM Skuli ya JKU Mtoni na viwanda vya Idara Maalum KVZ Mtoni.   Ghafla ya makabidhiano ya gari nne kutoka Serikali ya Romania kwa ajili ya kubebea taka   Waziri (OR-TMSMIM) Mh. Masoud Ali Mohammed atembelea hospitali ya KMKM na ujenzi wa jengo la wakala wa ulinzi JKU
 
 
Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti wa OR-TAMISEMIM Nd. Abdallah Issa Mgongo apokea msaada wa vifaa vya michezo na kujifunzia kwa ajili ya wanafunzi wa Skuli za Maandalizi na Msingi Zanzibar kutoka shirika la Good Neighbors la Korea.   Mhe. Masoud Ali Mohamed afungua kikao cha uongozi na wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa pamoja na baadhi ya wakuu wa vitengo vilivyo chini ya OR-TAMISEMIM, kilichofanyika Afisini kwakwe Vuga.   Vituo vya Uokozi vya Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Unguja - Zanzibar
 
 
Elimu juu ya Utumiaji wa Vifaa vya Huduma ya Kwanza (Fire Extenguisher)   Waziri (OR-TMSMIM) Mhe. Masoud Ali Mohammed akutana na Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za SMZ   Ghafla ya Makabidhiano ya Ofisi baina ya Katibu Mkuu Anaemaliza Mda wake na Katibu Mkuu Mpya.
 
 
Kamati ya Kusimamia Viongozi Wakuu wa Serikali ya Baraza la Wawakilishi imetembelea Miradi Mbali   Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za mitaa na Idara Maalum akifungua Semina ya Wakuu wa Mikoa,Wilaya na Masheha kuhusiana na uelewa wa BIMA. 25/01/2021   Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti OR-TMSMIM za SMZ, Ndugu Abdallah I. Mgongo akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi Wasaidizi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Utayarishaji wa Mpango Mkakati wa Utekelezaji wa DbyD.
 
 
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed Afanya Ziara ya Kushtukiza Baraza La Mji Kaskazini "B" Zanzibar.   Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limefanikiwa kuwashikilia watu 12 na wengine kukimbia kusikojulikana kwa tuhuma za kutaka kufanya uovu ambao ni kinyume na sheria za Nchi.   Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi baadhi ya Maafisa wa Vikosi vya Idara Maalum za SMZ kutokana na taarifa ya ZAECA ambayo imewasilishwa inayoonesha Maafisa hao kuhusika na tuhuma mbali mbali za Uhujumu Uchumi na Ubadhilifu wa Fedha za Umma.
 
 
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed amewaagiza Wakurugenzi kuweka mifumo bora kwa walipa kodi.   Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Baraza la Manispaa Mjini na Magharib "A" na kutoa maagizo mbalimbali ya kinidhamu kwa baadhi ya watendaji wa Idara Maalum za SMZ.   Maagizo aliyoyatoa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed kwa Halmashauri ya Mkoa wa Kusini Unguja.
 
 
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed atoa miezi mitatu kwa Baraza la Manispaa ya Mjini juu ukarabati wa magari mabovu.   Kuapishwa kwa Ndugu Massoud Ali Mohammed kuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ   Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed atoa maamuzi ya kupatiwa stahiki zao kwa Wananchi waliovunjiwa nyumba zao wakati wa kupisha ujenzi wa soko la Kinyasini Unguja.
 
 
Maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa yaliyofanyika Kendwa Rocks Nungwi Zanzibar.   Wafanya biashara wadogo wadogo waonana na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed na kutoa changamoto zao Ofisini kwake Vuga.   Mhe. Massoud Ali Mohammed Waziri wa Nchi AR - Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ afanya ziara ya kushtukiza katika Afisi ya Vizazi na Vifo. (25/11/2020)
 
 
Makabidhiano ya Ofisi kati ya Mhe. Massoud Ali Mohammed Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ na Mhe. Haji Omar Kheri Waziri aliyemaliza muda wake.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amuapisha Waziri wa Nchi OR - Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Massoud Ali Mohammed.   Makabidhiano ya makontena ya kuhifadhia taka pamoja na vitakasa mikono baina ya Serikali ya Romania kupitia Kampuni ya Premium Audit Consulting na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. (Tarehe 18-11-2020)
 
 
 Ufunguzi wa kikao cha Michezo ya Majeshi Tanzania - BAMATA   Naibu Waziri (OR-TMSMIM) Mh. Shamata Shaame Khamis, Akikabidhi mikoba yenye vifaa vya kusomea kwa wanafunzi wa skuli za msingi Zanzibar.   Uzinduzi wa vitambulisho vipya vya mzanzibari mkaazi (smart cards), Uliyofanyika tarehe 29 Oktoba, 2019, katika Ukumbi wa Idrissa Abdulwakil Mjini Zanzibar. Katika Uzinduzi huo mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MH. DK. ALI MOH’D SHEIN.
 
 
Makabidhiano ya Skuli ya Msingi ya Mambosasa kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Moh’d Sheni amewapandisha vyeo Maafisa watatu wa Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magendo KMKM kuanzia tarehe 03, Septemba 2019 kutoka cheo cha Kamanda nakuwa Kepten.   Ziara ya ukaguzi ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. Haji Omar Kheir katika Chinjio la Muwanda ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja. Tarehe 21/08/2019
 
 
Ziara ya ukaguzi ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. HAJI OMAR KHEIR. Aliyoifanya Wilaya ya Kati Unguja. Tarehe 20/08/2019   Ziara ya Waziri wa Nchi (OR) TMSMIM-SMZ. Mh. Haji Omar Kheir. Aliyoifanya Wilaya ya Kusini Unguja. Tarehe 19/08/2019   Kilele Cha Sherehe za KMKM zilizofanyika katika kiwanja cha Maisara Mjini Zanzibar tarehe 01 July, 2019. ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ MH. HAJI OMAR KHERI
 
 
Semina elekezi kwa Makatibu Tawala, Makatibu Tawala Wasaidizi, Wakurugenzi na Wakurugenzi wasaidizi wa Serikali za Mitaa   .Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ MH. HAJI OMAR KHERI akizindua rasmi shuhuli za mji salama katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar. 09 April, 2019.    Ghafla ya Makabidhiano ya Majukumu. Watumishi na vituo vya kazi baina ya OR TAMISEMIM ya SMZ na Wizara za kisekta (Afya, Elimu na Mafunzo ya Amali na Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi). tarehe 29 Machi, 2019
   
   
Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Akifungua mafunzo kuhusu mji salama yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Usafiri wa Anga yaliyofanyika Chuo cha Mafunzo Kilimani. tarehe 25/03/2019
    Ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Kutembelea Soko la Darajani pamoja na Jaa la Kibele Zanzibar.
   Ziara ya Raisi wa Zanzibar Mkoa wa Kaskazini A Unguja.
 
 

 

   
  Uzinduzi wa mradi wa kuimarisha Nyumba ya kihistoria ya Mwinyi Mkuu Dunga tarehe 5/01/2020  

Uwekaji wa jiwe la msingi cha Fisheries Range katika kisiwa cha Pungume Wilaya ya kati,Ni miongoni mwa shamrashamra za kuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi ya zanzibar. Yaliofanyika Tarehe04/1/2020

  Uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa matatu (3) katika maadhimisho ya sherehe za mapinduzi ya Zanzibar katika miaka 56, Skuli ya Maandalizi na msingi Donge Karange. Yaliyofanyika tarehe 01/01/2020
 
   
    
 UFUNGAJI WA MAFUNZO YA AWALI YA MKUPUO WA 3 WA IDARA MAALUM ZA SMZ YALIOFANYIKA MAISARA.06/02/2020   Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa za Idara Maalum za SMZ Mh. Haji Omar Kheri amezinduwa uvunaji wa mpunga katika Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Upenja tarehe 27/05/2020

 

 

Wasiliana nasi


Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

2277 Barabara ya Vuga,

S.L.P 4220,

70401 Mjini Magharibi,

Tel: +255242230034

Fax: +255242230034

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

Waliotembelea Tovuti

3732029
Today
Yesterday
This Week
This Month
All days
684
219
1745
12874
3732029